Jumapili, 24 Machi 2013

ZOGOLO MAKUNGANYA NO.3. SEFU ZOGOLO MBWAWA

Zogolo makunganya no. 3











Sefu Cmbuso Zogolo akiwa mitaani jijini Dar es Salaam 1984.

______________________________________
3.A Katika watoto wa zogolo Makunganya; tumemtaja mtoto wake mmoja aitwaye Sefu Zogolo; Sefu huyo - amezaa watoto hawa:-
            Mintanga Sefu Zogolo; 
            Selemani Sefu Zogolo; 
            Athumani Sefu Zogolo; 
            Ally Sefu Zogolo
            Hadija Sefu Zogolo
            Chambuso Sefu Zogolo
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Zogolo Makunganya Zongobilo. 
Maisha yao yalikuwa ni sehemu za kijiji cha Mbwawa Kibaha mpaka Bagamoyo; Yombo; Mlandizi; Disunyala; Chekeleni; Lupunga; Mzenga; Mwanalumango; Kisalawe; kuzunguka Mkoa wa pwani na Dar es Salaam; Mkoa wa Mologolo Kisaki;Ifakala; Msowelo.



Mwenyezimungu awape Kheri nasaba hii Duniani na Akhera 

                             Aaaamin.

                     Hii ni nakala ya 1960.
                          
                               Tafuta 
Zogolo Makunganya No.4 Sefu Zogolo.
 inalindwa na kuhifadhiwa na ukoo wa Zogolo.
________________________________________

KARIBU PWANI YETU

ZOGOLO MAKUNGANYA NO.8 ZOGOLO, MATAMBO, MBONDO NI NDUGU MOJA KOO MBALIMBALI.

  ZOGOLO, MATAMBO, MBONDO NI NDUGU MOJA KOO MBALIMBALI. Mlaluhombo alikuwa na mdogo wake waliozaliwa kwa mama mkubwa na mdogo, huyu mdogo al...