Jumamosi, 9 Februari 2019

ZOGOLO MAKUNGANYA NO. 7


                       ZOGOLO MAKUNGANYA NO. 7



Sura hii inaonyesha kizazi cha watoto wa Kiombo

7.A Katika watoto wa Kiombo tulimtaja mtoto anyeitwa Selemani Madaha, Selemani huyu amezaa watoto hawa:-
                          Kili Selemani. 
kwa mujibu wa kizazi hiki mtoto huyu amekuwa ni mjukuuwa Kiombo. 

7.B Mtoto mwingine wa Kiombo anayeitwa Hadija Madaha amezaa watoto hawa:-
                          Hassani
                          Hosseni
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Kiombo.

7.C Mtoto mwingine wa Kiombo anayeitwa Rozi naye amezaa watoto hawa:-
                         Rukia 
                         Abuu
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Kiombo.

 

Nakala hii inalindwa na ukoo wa Zogolo Makunganya

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KARIBU PWANI YETU

ZOGOLO MAKUNGANYA NO.8 ZOGOLO, MATAMBO, MBONDO NI NDUGU MOJA KOO MBALIMBALI.

  ZOGOLO, MATAMBO, MBONDO NI NDUGU MOJA KOO MBALIMBALI. Mlaluhombo alikuwa na mdogo wake waliozaliwa kwa mama mkubwa na mdogo, huyu mdogo al...