_______________________________________
_______________________________________
4.A Katika watoto wa Sefu Zogolo tumemtaja mtoto aitwaye Selemani Sefu; huyu amezaa watoto wafuatao:-
Binti Selemani aliyekuwa akijulikana kwa jina la Biti Ally Sefu Zogolo;
Ramadhani Selemani Sefu Zogolo;
Mwatabu Selemani {Fatuma} Sefu Zogolo;
Subira Selemani Sefu Zogolo;
Hapia Selemani Sefu Zogolo;
Mwanahamisi Selemani{Maua}Sefu Zogolo ;
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Sefu Zogolo.
4.B Katika watoto hao wa Sefu Zogolo pia tumemtaja mtoto aitwaye Athumani Sefu Zogolo; huyu naye amezaa watoto hawa:-
Mwanahawa Athumani Sefu Zogolo; Ramadhani Athumani Sefu Zogolo;
Hosseni Athumani Sefu Zogolo.
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Sefu Zogolo.
4.C Katika watoto hao wa Sefu Zogolo pia tulimtaja mtoto aitwaye Ally Sefu Zogolo; huyu naye amezaa watoto hawa:-
Rajabu Ally Sefu Zogolo;
Juma Ally Sefu Zogolo. kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Sefu Zogolo.
4.D Katika watoto hao wa Sefu Zogolo vileville tumemtaja mtoto aitwaye Hadija Sefu Zogolo; huyu naye amezaa watoto hawa:-
Mohammedi Selemani{Zira}; Zena Bakari-aliyejulikana kwa jina la Kiombo;
Fatuma Juma.
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Sefu Zogolo.
4.E Vilevile katika watoto hao wa Sefu Zogolo tulimtaja mtoto aitwaye Chambuso Sefu Zogolo; huyu naye amezaa watoto hawa:-
Sefu Chambuso Sefu Zogolo; Hamisi Chambuso Sefu Zogolo;
Maangaza Chambuso Sefu Zogolo;
Zuhura Chambuso Sefu Zogolo;
Abdulrahmaani Chambuso Sefu Zogolo;
Mwinyimkuu Chambuso Sefu Zogolo;
Mahija Chambuso Sefu Zogolo;
Yahaya Chambuso Sefu Zogolo;
Riziki Chambuso Sefu Zogolo;
Fatuma Chambuso Sefu Zogolo- anayejulikana kwa jina la Fatuma Matambo.
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Sefu Zogolo.ambapo familia hii ya Chambuso ilizaliwa Bagamoyo katika Hospitali ya Hajji Sewa ambayo hivi sasa ni Hospitali ya wilaya ya Bagamoyo Tarafa ya Mwambao.
Mwenyezimungu awape Kheri Duniani na Akhera Aaaamin.
Tafuta Zogolo Makunganya No.5 Sefu Zogolo.
Imenakiliwa 1997.
Inalindwa na kuhifadhiwa wazee wa ukoo wa Zogolo.
_____________________________________