ZOGOLO
MAKUNGANYA NO. 7
Sura hii
inaonyesha kizazi cha watoto wa Kiombo
7.A Katika watoto wa Kiombo tulimtaja mtoto anyeitwa Selemani Madaha, Selemani huyu amezaa watoto hawa:-
Kili Selemani.
kwa mujibu wa
kizazi hiki mtoto huyu amekuwa ni mjukuuwa Kiombo.
7.B Mtoto mwingine wa Kiombo anayeitwa Hadija Madaha amezaa watoto hawa:-
Hassani
Hosseni
kwa mujibu wa
kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Kiombo.
7.C Mtoto mwingine wa Kiombo anayeitwa Rozi naye amezaa watoto hawa:-
Rukia
Abuu
kwa mujibu wa
kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Kiombo.
Nakala hii inalindwa na ukoo wa Zogolo Makunganya