Jumanne, 11 Juni 2019

ZOGOLO MAKUNGANYA NO. 6 . SELEMANI SEFU ZOGOLO MBWAWA KIBAHA

Ukoo wa Zogolo


6.A Katika sura ya Tano tulimtaja mjukuu wa Selemani Sefu aitwaye  Selemani Ramadhani, 
Selemani huyu amezaa watoto hawa:-

Rahma Selemani,

Ramadhani Selemani,
Abuubakari Selemani,
Swaumu Selemani.                                              Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Ramadhani Selemani Sefu Zogolo. 

6.B Sura hiyo ya 5.G tulimtaja Mjukuu mwingine wa Selemani Sefu aitwaye Siasa Salehe; 
Siasa huyu amezaa watoto hawa:-

Abdu Ramadhani,
Sharifa Ramadhani,
Ahmadi Ramadhani.
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Salehe Selemani Sefu Zogolo.


6.C Sura hiyo ya Tano pia tulimtaja Mjukuu mwingine wa Mzee Selemani Sefu aitwaye Maryamu Salehe; Maryamu huyo naye amezaa watoto hawa:-

Abuu Layan,
Ramadhani Mohammedi,
Salimu Layan,
Mohammedi Layan,
Salehe Athumani,
Saidi Mohammedi.
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Salehe Selemani Sefu Zogolo.


6.D Katika sura hiyo ya Tano tulimtaja Mjukuu mwingine wa Selemani Sefu aitwaye Sivijui Ramadhani, Sivijui huyu ameszaa watoto hawa:-

Yasir 
Kwa mujibu wa kizazi hiki mtoto huyu amekuwa ni mjukuu wa Mzee Ramadhni Selemani Sefu Zogolo. 


6.E Mjukuu mwingine wa Selemani Sefu anayeitwa Mazoea Ramadhani amezaa watoto hawa:-

Fatuma Ngupili,
Mustafa Abdallah Ngupili,
Yassin Abdallah Ngupili
Swaumu Abdallah Gereza,
Nuru Abdallah Gereza. 
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Ramadhani Selemani Sefu.



6.F Mjukuu mwingine wa Selemani Sefu aitwaye Semeni Salehe naye amezaa watoto hawa:-

Mohammedi Kudura,
Yassin Kudura,
Amina
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Salehe Selemani Sefu


6.G Mjukuu mwingine wa Selemani Sefu aitwaye Pili Salehe naye amezaa watoto hawa:-

Iddi Salumu,
Mwinyimvua Salumu,
Jamila Salumu,
Neema Salumu,
Mahija Salumu,
Mrisho Salumu,
Hamisi Salumu.
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Salehe Selemani Sefu.


6.H Katika sura hiyo ya Tano tulimtaja mjukuu mwingine wa Selemani Sefu Zogolo aitwaye Rukia Juma Mintanga; naye Rukia huyu amezaa watoto hawa:-

Salha Yussuf
Nasma Iddi
Mwanaarabu Iddi
Junio Mcharo. 
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Bi Hapia Selemani.



6.I Katika sura hiyo ya Tano tulimtaja mjukuu mwingine wa Selemani Sefu Zogolo aitwaye
Fujo Juma Mintanga; huyu naye amezaa watoto hawa:-

Mukrimu Hassani

Rehema Hassani
Qurthumu Sadiki
Victa Kalunga.  
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Bi Hapia Selemani.

6.J Katika sura hiyo ya Tano tulimtaja mjukuu wa    Athumani Sefu aitwaye Saddamu Hosseni huyo naye amezaa watoto hawa:-

Hassani Saddamu

Abdilahi Saddamu, 
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Hosseni Athumani Sefu Zogolo.

6.K Katika sura hiyo ya Tano 5.I tulimtaja mjukuu wa    Ally Sefu Zogolo aitwaye Ally Rajabu Sefu huyo naye amezaa watoto hawa:-                            

Rajabu Ally Rajabu                                              kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa  wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Rajabu Ally Sefu  Zogolo.

Mwenyezimungu awape Kheri nasaba hii Duniani na Akhera
                           Aaaamin.
nakala hii ni ya mwaka 2018 inahifadhiwa na kulindwa na ukoo wa Zogolo kwa msaada wa Blogger.



Sura hii inaonesha watoto wa Chambuso Sefu Zogolo nao walivyojukuu,



6.L Tulimtaja mtoto wa Maangaza Chambuso Sefu aitwaye Adamu Harubu; Adamu huyo amezaa watoto hawa:-

Laylat Adamu,
Nayfat Adamu,
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Bi Maangaza Chambuso.


6.M Vilevile tulimtaja mtoto mwingine wa Maangaza Chambuso aitwaye Zena Harubu; naye amezaa watoto hawa:-

Samia Mrisho,

Selemani Jabir,
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Bi Maangaza Chambuso.



6.N Tulimtaja mtoto wa Mwinyimkuu Chambuso aitwaye Mboni Mwinyimkuu{Swaumu} Swaumu huyo naye amezaa watoto hawa:-

Hamisi,

Kwa mujibu wa kizazi hiki mtoto huyu amekuwa ni mjukuu wa Mzee Mwinyimkuu Chambuso.  



6.O Mtoto mwingine wa Maangaza Chambuso anaitwa Ramadhani Harubu ambaye amezaa watoto hawa:-

Asnat Ramadhani,

kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Bi Maangaza Chambuso.



6.P Katika sura hiyo hiyo tulimtaja mtoto wa Mahija Chambuso aitwaye Ramadhani Shabani ambaye amezaa watoto hawa:-

Yassin Ramadhani,

kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Bi Mahija Chambuso.

Nasaba hii Mwenyezimungu aipe Kheri Duniani na Akhera Aaaamin.
          
            Tafuta Zogolo Makunganya No.7.A

nakala hii ni ya mwaka 2017. inahifadhiwa na kulindwa na ukoo wa Zogolo.
_____________________________________________

ZOGOLO MAKUNGANYA NO. 5. SEFU ZOGOLO MBWAWA KIBAHA

        ZOGOLO MAKUNGANYA NO. 5.                                       Sefu Zogolo.


Sura hii inatazama sana kizazi cha wajukuu wa Sefu Zogolo.

5.A Katika wajukuu hao tulimtaja mjukuu aitwaye Mwanahawa binti Athumani, Mwanahawa huyu amezaa watoto hawa:-                                            
Hamisi Mohammedi
Msiba Amri Mzigo,
Maneno Amri Mzigo,
Sudi Amri Mzigo,
Athumani Amri Mzigo,
Buyu Amri Mzigo,
Saidi Amri Mzigo.Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa mzee Athumani Sefu Zogolo.


5.B Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye 
Subira binti Selemani alizaa watoto hawa:                Salumu Shabani,                                              Bakari Shabani,                                                     
Nasri Mohammedi,
Ima Selemani.                                                      Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa mzee Selemani Sefu Zogolo.


5.C Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Ramadhani Athumani naye amezaa 
watoto hawa:-
Athumani Ramadhani,
Semeni Ramadhani,
Nyang'ambi Ramadhani.
{X}
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Athumani Sefu Zogolo.



5.D Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Hosseni Athumani naye amezaa watoto hawa:-
Saddamu Hosseni,
Kwa mujibu wa kizazi hiki mtoto huyu amekuwa ni mjukuu wa Mzee Athumani Sefu Zogolo.


5.E Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye 
Hapia Selemani naye amezaa watoto hawa:-
Rukia Juma Mintanga,
Fujo Juma Mintanga.
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Selemani Sefu Zogolo.

5.F Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Ramadhani Selemani naye amezaa watoto hawa:-
Mazoea Ramadhani,
Selemani Ramadhani,
Semeni Ramadhani,
Halfani Ramadhani,
Yahaya Ramadhani,
Tatu Ramadhani,
Athumani Ramadhani,
Sivijui Ramadhani,
Kassimu Ramadhani.
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Selemani Sefu Zogolo.

5.G Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaaye Salehe Selemani naye amezaa watoto hawa:-
Siasa Salehe,
Pili Salehe,
Mwanaidi Salehe,
Msinune Salehe,
Mwanahamisi Salehe,
Ally Salehe,
Hamza Salehe,
Saidi Salehe,
Salama Salehe,
Mariyamu Salehe,
Semeni Salehe
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Selemani Sefu Zogolo.

5.H Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye    Zena Bakari avumae kwa jina la Kiombo; naye amezaa watoto hawa:-
Rozi Ibrahimu,
Selemani Madaha,
Yunge Madaha,
Hadija Madaha,
Madaha Madaha,
Makaya Madaha,
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Bi Hadija Sefu Zogolo.

5.I Mjukuu Mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Rajabu Ally naye amezaa watoto hawa:-
Ally Rajabu             
Juma Rajabu,
Sudi Rajabu,
Salama Rajabu,
Nema Rajabu,
Heri Rajabu,
Iddi Rajabu,
Hadija Rajabu.
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwaq ni wajukuu wa Mzee Ally Sefu Zogolo.

5.J Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye    Juma Ally naye amezaa watoto hawa:-
Ally Juma,
Kwa mujibu wa kizazi hiki mtoto huyu amekuwa ni mjukuu wa Mzee Ally Sefu Zogolo.

5.K Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Mohammedi Selemani naye amezaa watoto hawa:-

KARIBU PWANI YETU

ZOGOLO MAKUNGANYA NO.8 ZOGOLO, MATAMBO, MBONDO NI NDUGU MOJA KOO MBALIMBALI.

  ZOGOLO, MATAMBO, MBONDO NI NDUGU MOJA KOO MBALIMBALI. Mlaluhombo alikuwa na mdogo wake waliozaliwa kwa mama mkubwa na mdogo, huyu mdogo al...