Ukoo wa Zogolo
6.A Katika sura ya Tano tulimtaja mjukuu wa Selemani Sefu aitwaye Selemani Ramadhani,
Selemani huyu amezaa watoto hawa:-
Ramadhani Selemani,
Abuubakari Selemani,
Swaumu Selemani. Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Ramadhani Selemani Sefu Zogolo.
6.B Sura hiyo ya 5.G tulimtaja Mjukuu mwingine wa Selemani Sefu aitwaye Siasa Salehe;
Siasa huyu amezaa watoto hawa:-
Abdu Ramadhani,
Sharifa Ramadhani,
Ahmadi Ramadhani.
Abuu Layan,
Ramadhani Mohammedi,
Salimu Layan,
Mohammedi Layan,
Salehe Athumani,
Saidi Mohammedi.
Yasir
Fatuma Ngupili,
Mustafa Abdallah Ngupili,
Yassin Abdallah Ngupili
Swaumu Abdallah Gereza,
Nuru Abdallah Gereza.
Mohammedi Kudura,
Yassin Kudura,
Amina
Iddi Salumu,
Mwinyimvua Salumu,
Jamila Salumu,
Neema Salumu,
Mahija Salumu,
Mrisho Salumu,
Hamisi Salumu.
Salha Yussuf
Nasma Iddi
Mwanaarabu Iddi
Junio Mcharo.
Mukrimu Hassani
Rehema Hassani
Qurthumu Sadiki
Victa Kalunga.
Hassani Saddamu
Abdilahi Saddamu,
nakala hii ni ya mwaka 2018 inahifadhiwa na kulindwa na ukoo wa Zogolo kwa msaada wa Blogger.
Sura hii inaonesha watoto wa Chambuso Sefu Zogolo nao walivyojukuu,
Laylat Adamu,
Nayfat Adamu,
Samia Mrisho,
Selemani Jabir,
Hamisi,
Asnat Ramadhani,
Yassin Ramadhani,
Tafuta Zogolo Makunganya No.7.A
nakala hii ni ya mwaka 2017. inahifadhiwa na kulindwa na ukoo wa Zogolo.
_____________________________________________
Sharifa Ramadhani,
Ahmadi Ramadhani.
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Salehe Selemani Sefu Zogolo.
6.C Sura hiyo ya Tano pia tulimtaja Mjukuu mwingine wa Mzee Selemani Sefu aitwaye Maryamu Salehe; Maryamu huyo naye amezaa watoto hawa:-
Abuu Layan,
Ramadhani Mohammedi,
Salimu Layan,
Mohammedi Layan,
Salehe Athumani,
Saidi Mohammedi.
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Salehe Selemani Sefu Zogolo.
6.D Katika sura hiyo ya Tano tulimtaja Mjukuu mwingine wa Selemani Sefu aitwaye Sivijui Ramadhani, Sivijui huyu ameszaa watoto hawa:-
Yasir
Kwa mujibu wa kizazi hiki mtoto huyu amekuwa ni mjukuu wa Mzee Ramadhni Selemani Sefu Zogolo.
6.E Mjukuu mwingine wa Selemani Sefu anayeitwa Mazoea Ramadhani amezaa watoto hawa:-
Fatuma Ngupili,
Mustafa Abdallah Ngupili,
Yassin Abdallah Ngupili
Swaumu Abdallah Gereza,
Nuru Abdallah Gereza.
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Ramadhani Selemani Sefu.
6.F Mjukuu mwingine wa Selemani Sefu aitwaye Semeni Salehe naye amezaa watoto hawa:-
Mohammedi Kudura,
Yassin Kudura,
Amina
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Salehe Selemani Sefu
6.G Mjukuu mwingine wa Selemani Sefu aitwaye Pili Salehe naye amezaa watoto hawa:-
Iddi Salumu,
Mwinyimvua Salumu,
Jamila Salumu,
Neema Salumu,
Mahija Salumu,
Mrisho Salumu,
Hamisi Salumu.
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Salehe Selemani Sefu.
6.H Katika sura hiyo ya Tano tulimtaja mjukuu mwingine wa Selemani Sefu Zogolo aitwaye Rukia Juma Mintanga; naye Rukia huyu amezaa watoto hawa:-
Salha Yussuf
Nasma Iddi
Mwanaarabu Iddi
Junio Mcharo.
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Bi Hapia Selemani.
6.I Katika sura hiyo ya Tano tulimtaja mjukuu mwingine wa Selemani Sefu Zogolo aitwaye
Fujo Juma Mintanga; huyu naye amezaa watoto hawa:-
Rehema Hassani
Qurthumu Sadiki
Victa Kalunga.
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Bi Hapia Selemani.
6.J Katika sura hiyo ya Tano tulimtaja mjukuu wa Athumani Sefu aitwaye Saddamu Hosseni huyo naye amezaa watoto hawa:-
Abdilahi Saddamu,
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Hosseni Athumani Sefu Zogolo.
6.K Katika sura hiyo ya Tano 5.I tulimtaja mjukuu wa Ally Sefu Zogolo aitwaye Ally Rajabu Sefu huyo naye amezaa watoto hawa:-
Rajabu Ally Rajabu kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Rajabu Ally Sefu Zogolo.
Mwenyezimungu awape Kheri nasaba hii Duniani na Akhera
Aaaamin.nakala hii ni ya mwaka 2018 inahifadhiwa na kulindwa na ukoo wa Zogolo kwa msaada wa Blogger.
Sura hii inaonesha watoto wa Chambuso Sefu Zogolo nao walivyojukuu,
Laylat Adamu,
Nayfat Adamu,
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Bi Maangaza Chambuso.
6.M Vilevile tulimtaja mtoto mwingine wa Maangaza Chambuso aitwaye Zena Harubu; naye amezaa watoto hawa:-
Selemani Jabir,
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Bi Maangaza Chambuso.
6.N Tulimtaja mtoto wa Mwinyimkuu Chambuso aitwaye Mboni Mwinyimkuu{Swaumu} Swaumu huyo naye amezaa watoto hawa:-
Kwa mujibu wa kizazi hiki mtoto huyu amekuwa ni mjukuu wa Mzee Mwinyimkuu Chambuso.
6.O Mtoto mwingine wa Maangaza Chambuso anaitwa Ramadhani Harubu ambaye amezaa watoto hawa:-
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Bi Maangaza Chambuso.
6.P Katika sura hiyo hiyo tulimtaja mtoto wa Mahija Chambuso aitwaye Ramadhani Shabani ambaye amezaa watoto hawa:-
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Bi Mahija Chambuso.
Nasaba hii Mwenyezimungu aipe Kheri Duniani na Akhera Aaaamin.
Tafuta Zogolo Makunganya No.7.A
nakala hii ni ya mwaka 2017. inahifadhiwa na kulindwa na ukoo wa Zogolo.
_____________________________________________

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni