Sura hii inatazama sana kizazi cha wajukuu wa Sefu Zogolo.
5.A Katika wajukuu hao tulimtaja mjukuu aitwaye Mwanahawa binti Athumani, Mwanahawa huyu amezaa watoto hawa:-
Hamisi Mohammedi
Msiba Amri Mzigo,
Maneno Amri Mzigo,
Sudi Amri Mzigo,
Athumani Amri Mzigo,
Buyu Amri Mzigo,
Saidi Amri Mzigo.Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa mzee Athumani Sefu Zogolo.
5.B Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye
Subira binti Selemani alizaa watoto hawa: Salumu Shabani, Bakari Shabani,
Nasri Mohammedi,
Ima Selemani. Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa mzee Selemani Sefu Zogolo.
5.C Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Ramadhani Athumani naye amezaa
watoto hawa:-
Athumani Ramadhani,
Semeni Ramadhani,
Nyang'ambi Ramadhani.
{X}
kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Athumani Sefu Zogolo.
5.D Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Hosseni Athumani naye amezaa watoto hawa:-
Saddamu Hosseni,
Kwa mujibu wa kizazi hiki mtoto huyu amekuwa ni mjukuu wa Mzee Athumani Sefu Zogolo.
5.E Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye
Hapia Selemani naye amezaa watoto hawa:-
Rukia Juma Mintanga,
Fujo Juma Mintanga.
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Selemani Sefu Zogolo.
5.F Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Ramadhani Selemani naye amezaa watoto hawa:-
Mazoea Ramadhani,
Selemani Ramadhani,
Semeni Ramadhani,
Halfani Ramadhani,
Yahaya Ramadhani,
Tatu Ramadhani,
Athumani Ramadhani,
Sivijui Ramadhani,
Kassimu Ramadhani.
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Selemani Sefu Zogolo.
5.G Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaaye Salehe Selemani naye amezaa watoto hawa:-
Siasa Salehe,
Pili Salehe,
Mwanaidi Salehe,
Msinune Salehe,
Mwanahamisi Salehe,
Ally Salehe,
Hamza Salehe,
Saidi Salehe,
Salama Salehe,
Mariyamu Salehe,
Semeni Salehe
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Selemani Sefu Zogolo.
5.H Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Zena Bakari avumae kwa jina la Kiombo; naye amezaa watoto hawa:-
Rozi Ibrahimu,
Selemani Madaha,
Yunge Madaha,
Hadija Madaha,
Madaha Madaha,
Makaya Madaha,
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Bi Hadija Sefu Zogolo.
5.I Mjukuu Mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Rajabu Ally naye amezaa watoto hawa:-
Ally Rajabu
Juma Rajabu,
Sudi Rajabu,
Salama Rajabu,
Nema Rajabu,
Heri Rajabu,
Iddi Rajabu,
Hadija Rajabu.
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwaq ni wajukuu wa Mzee Ally Sefu Zogolo.
5.J Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Juma Ally naye amezaa watoto hawa:-
Ally Juma,
Kwa mujibu wa kizazi hiki mtoto huyu amekuwa ni mjukuu wa Mzee Ally Sefu Zogolo.
5.K Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Mohammedi Selemani naye amezaa watoto hawa:-
Siwajibu Mohammedi,
Mwanahuba Mohammedi,
Zila Mohammedi, {x} Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Bi Hadija Sefu Zogolo.
5.L Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo ,aitwaye Fatuma Juma naye amezaa watoto hawa:-
Lela Vava,
Hadija.
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Bi Hadija Sefu Zogolo.
5.M Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Sefu Chambuso naye amezaa watoto hawa:-
(X)
Halima Sefu,
(X)
Hajiri Sefu,
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Chambuso Sefu Zogolo.
5.N Mjukuu Mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Maangaza Chambuso naye amezaa watoto hawa:-
Adamu Harubu,
Zena Harubu,
Ramadhani Harubu,
Muamini Dunia,
Mustafa Dunia.
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Chambuso Sefu Zogolo.
5.O Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Mwinyimkuu Chambuso naye amezaa watoto hawa:-
Mboni Mwinyimkuu,
Kombola Mwinyimkuu
Swaumu Mwinyimkuu
Swaumu Mwinyimkuu
Nema Mwinyimkuu,
Chambuso Mwinyimkuu,
Selemani Mwinyimkuu,
Zulfati Mwinyimkuu
Kaisali Mwinyimkuu.
Kaisali Mwinyimkuu.
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Chambuso Sefu Zogolo.
5.P Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Riziki Chambuso naye amezaa watoto hawa:-
Mohammedi Riziki,
Ismaiya Riziki,
Amina Riziki,
Rasuli Riziki,
Selemani Riziki.
Mudriki Riziki
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Chambuso Sefu Zogolo.
5.Q Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Fatuma Chambuso {Matambo} naye amezaa watoto hawa:-
Nasri Kassimu,
Naifat Juma,
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Chambuso Sefu Zogolo.
5.R Mjukuu mwingine wa Sefu Zogolo aitwaye Mahija Chambuso naye amezaa watoto hawa:-
Issa Rajabu,
Zuhura Hamadi,
Hawa Shomari,
Qad'ri Hamisi,
Kwa mujibu wa kizazi hiki watoto hawa wamekuwa ni wajukuu wa Mzee Chambuso Sefu Zogolo.
Mwenyezimungu awape kheri ukoo huu Duniani na Akhera Aaamin.
Hii ni nakala ya 2018 Tafuta Zogolo Makunganya no. 6
inalindwa na kuhifadhiwa na ukoo wa Zogolo.
_____________________________________
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni